0

Kila Kitu Mlangoni Kwako

Agiza mboga, matunda, nafaka, na mahitaji mengine ya kila siku. Tunakuletea haraka mpaka mlangoni kwako.

🛵 Delivery ni Saa 1 - 3

Nunua Sasa
Genge Online Delivery

Vifurushi Vilivyoandaliwa

Chagua kifurushi kilichojaa mchanganyiko murua uliopendekezwa na wataalamu wetu.

Tengeneza Kifurushi Chako

Chagua bidhaa unazohitaji. Kima cha chini ni Tsh 5,000/=

Kifurushi Chako

Hujachagua bidhaa yoyote bado.

Kuhusu Sisi

Fahamu zaidi kuhusu GENGE ONLINE DELIVERY na dhumuni letu.

Kila Kitu Mlangoni Kwako

GENGE ONLINE DELIVERY ni suluhisho lako namba moja kwa mahitaji ya chakula na bidhaa za nyumbani. Tumejikita katika kuhakikisha unapata bidhaa safi, bora na kwa wakati muafaka bila kutoka ndani ya nyumba yako.

Tunashirikiana moja kwa moja na wakulima na wauzaji bora ili kuhakikisha matunda, mbogamboga, nyama, na nafaka tunazokuletea ni zenye kiwango cha juu kabisa. Tofauti yetu ni usafi, uharaka, na uhakika.

Ufikishaji wa Haraka
Bidhaa Safi Kila Siku
Malipo Salama & Uhakika
Kuhusu Genge

Wasiliana Nasi

Tuko hapa kukuhudumia. Wasiliana nasi kwa njia yoyote kati ya hizi.

Piga Simu

+255 799 689 961

Bonyeza hapa kupiga simu moja kwa moja.

WhatsApp

+255 799 689 961

Bonyeza hapa kutuma ujumbe WhatsApp.

Eneo Letu (Makao Makuu)

Uwata Madale Primary School

Bonyeza hapa kuona ramani ya ofisi zetu.

Barua Pepe

Gengeonlinetz@gmail.com

Bonyeza hapa kututumia barua pepe.

Kapu Lako

Kapu lako liko wazi.

Item added!

Tungependa kusikia kutoka kwako ili tuboreshe huduma zetu zaidi!

Oda Zangu

📱

Angalia Historia Yako

Ingiza namba yako ya simu uliyotumia kuagiza ili uone historia ya oda zako.

Historia yako itahifadhiwa kwenye kifaa hiki kwa matumizi ya baadaye.