1. đĄ Taratibu za Nyumba & Makazi (Kupangisha & Kuuzwa)
Mteja ana haki ya kufanya ukaguzi wa eneo (Site Visit) kabla ya kulipa kodi au kununua. Hakikisha unakagua nyumba, maji, umeme na mazingira kabla ya kusaini mkataba rasmi na mmiliki au wakala wetu.
2. đ Taratibu za Magari & Vyombo vya Moto
Magari yanaruhusiwa kufanyiwa ukaguzi kamili (Physical Inspection na Test Drive) pamoja na fundi wako, na kuhakiki kadi ya gari (Logbook) kupitia mfumo wa TRA kabla ya malipo kukamilika.
3. đą Simu & Vifaa vya Umeme (Electronics)
Vifaa vyote vya umeme na simu vinapewa dhamana (Warranty) kulingana na mtengenezaji. Iwapo kifaa kina hitilafu ya kiwandani, kiripotiwe ndani ya saa 24 â 48 ili kubadilishiwa au kurekebishiwa.
4. đ Mitindo, Viatu & Urembo
Mteja anaruhusiwa kuchagua size, rangi na mtindo sahihi. Bidhaa zinazoweza kubadilishwa zitaripotiwe mara moja baada ya kupokea kabla ya kutumika.
5. đī¸ Vifaa vya Kujengea & Usafirishaji
Vifaa vizito (Saruji, Mabati, Vigae) vinasafirishwa kwa gari la mizigo (Pick-up au Canter). Gharama ya usafiri inalipwa kulingana na umbali au makubaliano.